Pata Huduma Zetu za Notes Kwa Urahisi Zaidi

Habari Natumaini Umekuja kwenye kurasa hii ili kuweza kupata huduma zetu kwa Urahisi zaidi. Kurasa hii inakupa mwongozo wa kuweza kupata huduma zetu kwa haraka na kwa urahisi zaidi.

Hudu tunazozitia ninpamoja na;

1. Kuuza Notes kwa Vidato vyote

2. Kuuza Mitihani

3. Kuuza maandalio ya Somo

4. Ushauri kwa wanafunzi

5. Matangazo ya Biashara

Huduma ya Notes

O’ Level Notes

Mwanafunzi Forum tunauza notes kwa kidato cha kwwanza hadi cha Nne. Notes tunazoziuza zipo kwenye mfuno wa Word na PDF kulingana na mahitaji yako.

Gharama za Notes

  1. Somo Moja kwa kidato kimoja ni Tsh. 3,000
  2. Masomo yote kwa kidato kimoja ni Tsh. 10,000
  3. Masomo yote kwa vidato vyo vya O’ Level ni Tsh. 20,000
  4. Uchambuzi wa Vitabu, Kimoja ni Tsh. 2,500 vitabu vitatu kwa kategoria ni Tsh 5,000

A’ Level Notes

Kwa upande wa A. Level bei za notes zetu zipo kama ifuatavyo

  1. Somo Moja kwa kidato kimoja (form 5 au 6)ni Tsh. 4,000
  2. Masomo yote kwa kidato kimoja (form 5 au 6) ni Tsh. 14,000
  3. Masomo yote kwa vidato vyo vya A’ Level ni Tsh. 25,000
  4. Uchambuzi wa Vitabu, Kimoja ni Tsh. 2,500, vitabu vitatu kwa kategoria ni Tsh 5,000

Ili kuweza kupata notes zetu tafadhari walisiana nasi kupitia namba zifuatazo ni whatsapp tu +255 691 468 559

Pata Huduma Zetu za Notes Kwa Urahisi Zaidi

WhatsApp Channel Join Now!